Baada ya kitendo ya kujiapisha, nini kinachofuatia kwa Raila Odinga?

Tukio la kiongozi wa upinzani Raila Odinga lilikuwa ya kihistoria Kenya, lakini nini kifuatacho?

Profesa Herman Manyora ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa Kenya anatupatia mtazamo wake.