Maonyesho ya mitindo ya watu wenye ualbino

Maonyesho ya mitindo ya watu wenye ualbino

Maonyesho ya mitindo ya watu wenye ualbino umefanyika huko jijini Dar es salaam, Tanzania. Tamasha hilo la 'My Skin, My Pride' yaani Ngozi yanguu, Fahari yangu, lilishirikisha wanamitindo kumi wote wenye ualbino waliweza kutembea katika zulia nyekundu katika halfa ya kuhamisha jamii kuwapokea walivyo na kukomeza unyanyapaa.