Habari za Global News Beat 1100 6/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1100 6/2/2018

Mwandishi kutoka Canada Margaret Artwood anasema kuwa kutokana na kashfa za hivi karibuni za unyanyasaji wa kijinsia, panafaa kuwa na kitabu cha maadili ambacho wanaume watatumia ili kujifundisha adabu. Je, unadhani wanaume wanafaa kuwa na kirtabu cha maadili, sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.