Norrie asonga mbele michuano ya BNP Paribas.

Cameron Norrie
Image caption Cameron Norrie asonga mbele michuano

Mwingereza Cameron Norrie amesonga mbele katika michuanao ya wazi ya BNP Paribas ya India baada ya kumshinda. Mmarekani Christian Harrison.

Norrie ameshinda seti 6-2 6-3 na sasa atacheza dhidi ya Sergiy Stakhovsky wa Ukraine jumatano ijayo katika hatua inayofuata.

Naye Maria Sharapova anatarajia kuaanza kampeni yake Jumatano dhidi ya Naomi Osaka katika mchezo wa raundi ya kwanza, Kyle Edmund na Johanna Konta, pamoja na Roger Federer wao wameyaaga mashindano hayo.