Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Ungana na Mariam Omar na Dayo Yussuf kupata habari, maelezo, uchambuzi, maoni na michezo kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
(Kuanzia dakika ya 17.56, video haina sauti kutokana na matatizo ya kimitambo. Tunaomba radhi kwa hilo)