Mshairi kufungwa jela kwa kuhamasisha umoja Somalia
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1000 16/04//2018

Mahakama katika jamhuri ya Somaliland imemhukumu mshairi mmoja kwa miaka mitatu jela.

Nacima Qorane alionekana kuwa na hatia ya kuidharau serikali kwa kutetea Somaliland kuungana tena na nchi ya Somalia. Je hukumu hiyo ni haki kweli? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.