Tasnia ya Filamu TZ inakumbwa na mdororo wa soko la bidhaa za wasanii
Huwezi kusikiliza tena

Tasnia ya filamu TZ inakumbwa na mdororo wa soko la bidhaa za wasanii

Ingawa tasnia ya filamu imekuwa ikiimarika kwa baadhi ya mataifa ya Afrika kama vile Nigeria, imekuwa ni tofauti nchini Tanzania kwani kwa miaka ya hivi karibuni tasnia ya filamu nchini humo imekumbwa na mdororo wa soko la bidhaa za wasanii.

Maximiliana Mtenga amezungumza na waigizaji pamoja na wataalamu wa kuongoza filamu nchini