Habari za Global Newsbeat 1000 25/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 25/04/2018

Mwanamume aliyeshukiwa kuwauwa watu 10 na kuwajeruhi wengine 15 kwa kuwagonga na gari jijini Toronto alivyokamatwa. Alex Minassian aliiwataka polisi kumpiga risasi wakati wa kisanga hicho.