Wahandisi nchini Japan, wameunda roboti ambayo inageuka nakuwa gari
Wahandisi nchini Japan, wameunda roboti ambayo inageuka nakuwa gari
Wakipata mwelekezo kutoka kwa kipindi cha watoto cha televisheni cha Transformers, wahandisi nchini Japan, wameunda roboti ambayo inageuka nakuwa gari. Ungependa kulitumia gari ambalo lageuka na kuwa roboti? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNewsSwahili.