Kwanini Kabila la Bonda la India wanafanana na Waafrika?
Huwezi kusikiliza tena

Je umelisikia kabila la Bonda la India lililo na tamaduni zinazofanana na Waafrika

India ina makabila mengi na Bonda ni kabila mojawapo linalopatikana katika eneo liitwalo Odisha huko katika bara hilo la Asia. Hata hivyo mwonekano wao unafanana zaidi wa kiafrika - ikiwemo jinsi wanavyova, tamaduni za mapishi ambapo wakitumia vyungu na kupepeta wakitumia uteo. Zaidi ni kuwa wanaishi maisha ya kitamaduni ambao uwaonekana kutoathiriwa na mambo ya kisasa. Utamaduni huu mepokuwa ukipokezwana baina ya vizazi na vizazi ili usipotee.

Mada zinazohusiana