Je ni Kweli kitanda hakizai haramu?
Huwezi kusikiliza tena

Ni kwa nini wahenga walimaanisha walisema " kitanda hakizai haramu"?

Tatizo la kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto ndani ya familia limekuwa ni changamoto tangu enzi za mababu. Lakini wahenga waswahili enzi za kale walikuwa wanashughulikia vipi tatizo la mwanamume kutokuwa na uwezo wakutungisha mimba?

Wazee wawili wa Kiswahili, Bwana Oni Sigali na Bi Consolata wamemueleza Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda: