Pazia la Ligi Kuu ya England, maarufu kama Ligi ya Primia msimu wa 2019/2020 linafunguliwa rasmi hii leo
Huwezi kusikiliza tena

Pazia la Ligi Kuu ya England msimu huu linafunguliwa rasmi hii leo, je kipi kipya?

Pazia la Ligi Kuu ya England, maarufu kama Ligi ya Primia msimu wa 2019/2020 linafunguliwa rasmi hii leo.

Msimu uliopita 2018/2019 ulikuwa ni moja ya misimu bora na wenye ushindani wa hali ya juu, mambo yatakuwaje kwenye msimu mpya. Sula kuu ambalo wengi wanajiuliza ni Je, uhasama wa Mancester City na Liverpool kuendelea msimu huu?

Mada zinazohusiana