Mkasa wa Morogoro: Wengi wabaki na msongo wa mawazo
Huwezi kusikiliza tena

Mkasa wa lori la mafuta katika mji wa Morogoro umewaacha wengi na msongo wa mawazo

Mbali na Vifo, na majeruhi mkasa wa Morogoro umewaacha Watanzania wengi na msongo wa mawazo, ambao na baadhi wasema itakuwa vigumu kusahau tukio la mkasa uliowauwa na kuwajeruhi wapendwa wao.

Mada zinazohusiana