Uganda: Nchi inayowakaribisha wakimbizi
Huwezi kusikiliza tena

Jinsi Uganda inavyopata umaarufu kwa sera zake zinazowakaribisha wakimbizi

Uganda imewapokea takriban wakimbizi milioni 1.3m ikiwa ni idadi kubwa ya wakimbizi kuwahi kuwepo katika nchi yoyote ya Afrika.

Zaidi ya 90% ya wakimbizi hawa wamekimbia mizozo kutoka nchi jirani za Jamhuri ya Kidmeokrasi ya Congo na Sudan kusini.

Lakini badala ya kukabiliana na mkonodo wa watu wanaoachwa bila ya makaazi, Uganda imepata umaarufu kwa sera zake zinazowakaribisha wakimbizi.

Hivi ndivyo maisha yalivyo kwa baadhi ya wakimbizi hao wanaojaribu kujitafutilia makaazi mapya kaskazini mwa nchi hiyo.

Mada zinazohusiana