Picha inavyoweza wasilisha hali ya njaa kwa baadhi ya watu

Maonyesho ya picha kuhusu utokomezaji wa njaa, lililoandaliwa na asasi ya kimataifa ya kusaidia wahitaji, international charity Concern Worldwide na wapiga picha wa Panos.

Baadhi ya picha zilizoonyeshwa:

Sudani kusini

Chanzo cha picha, Abbie Trayler-Smith

"Kasima akiwa anakula mlo wake wa kila siku wa ugali ,mboga ya majani na nyama ya mbuzi."

Chanzo cha picha, Abbie Trayler-Smith

"Tonj ana umri wa miaka 12, akiwa anakula mboga ya karanga na ugali wa mtama akiwa nyumbani kawo huko Aweil, Afrika kusini."

Chanzo cha picha, Abbie Trayler-Smith

"Eunice na mume wake wana watoto watano pia wanaishi mji wa Aweil, Sudani kusini."

Chanzo cha picha, Abbie Trayler-Smith

"Calaso mwenye umri wa miaka 15, akiwa na mpwa wake mwenye umri wa miezi tisa, Yasmiin."

Picha za Afrika ya kati

Maisha baada ya migogoro ya nchi ya Afrika ya kati, Picha hizi zinawasilisha ya picha za chakula na namna kilivyokuwa kinatengenezwa.

Hali ya kutokuwa na usalama katika maisha ya watoto na wanawake nchini humo.

Chanzo cha picha, Chris de Bode/Panos Pictures

Mpiga picha alikutana na Marie mwenye umri wa miaka 40, mama wa mapacha wenye miezi 15, Moise and Dorcas.

Marie alikuwa na kitabu cha nyimbo za dini, kuwasilisha imani yake.

Jinsi mboga za majani zinavyoliwa kwa wingi katika eneo hilo.

Picha ikionyesha pia tiba ya asili ya miti shamba.

Chanzo cha picha, Chris de Bode/Panos Pictures

Natalie mwenye umri wa miaka 35, mume wake Beni mwenye umri wa mika 39, walipata mbegu na mafunzo ili kurejesha maisha yao katika hali ya kawaida baada ya kukimbia makazi yao kutokana na vita.

Chanzo cha picha, Chris de Bode/Panos Pictures

Mpiga picha De Bode anasema kuwa picha inayoonesha afisa wa afya ambaye alikufa hivi karibuni , meza ikiwa na vifaa vyake.

Chanzo cha picha, Chris de Bode/Panos Pictures

Liberia

Chanzo cha picha, Nora Lorek/ Panos Pictures

Picha ya mama wa watoto watano,Handful Bowein mwenye miaka 30 akiwa na mtoto wake Israel

"Wakati Israel alipokuwa na miezi 18 alikuwa na kilo 4.4 tu na alikuwa anashindwa hata kutembea kutokana na hali ya utapia mlo," alisema.

"Athari niliyoipata baada ya kujifungua mtoto wangu wa kwanza ilinifanya nishindwe kunyonyesha watoto wangu wote."

Chanzo cha picha, Nora Lorek/Concern/Panos Pictures

Mary Wrobone, 46 ni mwanachama wa kikundi cha kuweka na kukopa, anashukuru kuwa alipata mafunzo ya kupika chakula bora kwa ajili ya mgonjwa au mtoto mwenye utapiamlo.

Chanzo cha picha, Nora Lorek/ Panos Pictures

Mama mwenye mimba ya miezi saba, Patience Darway, 35.

Yeye anasema amejifunza vitu vipya mwaka huu, Jambo la muhimu ni namna ya kunyonyesha na kula mboga za majani katika mlo kamili kwa familia.

Sasa anaamini kuwa atatumia vizuri bustani yake kuvuna mboga za majani.

Chanzo cha picha, Nora Lorek/ Panos Pictures

"Orphelia ana umri wa miaka nane, akiwa darasa la kwanza akiwa na Jimmy[, 25,] ambaye ni mwanachama wa chama cha wanawake cha kuweka na kukopa.