Je unaufahamu ugonjwa wa kiharusi unaoshambulia mfumo wa fahamu?

Je unaufahamu ugonjwa wa kiharusi unaoshambulia mfumo wa fahamu?

Mtu mmoja kati ya watu wanne wako hatarini kupata ugonjwa wa kiharusi katika kipindi cha maisha yao ikiwa ni ongezeko kwa muujibu wa takwimu za waka 2012 ambapo mtu mmoja kati ya watu sita ana uwezekano wa kupata ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya duniani WHO.

Kila tarehe 29 mwezi octoba dunia inaadhimisha siku ya kiharusi huku Tanzania nayo ikiungana na mataifa mengine kuadhimisha siku hiyo , swali la kujiuliza je watu wana uelewa wa kutosha juu ya ugonjwa huo unaoshambulia mfumo wa fahamu?

Mwandishi Neema Selemani ametuandalia taarifa ifuatayo.