Ni namna gani whisky imekuwa maarufu hivi sasa?
Huwezi kusikiliza tena

Whisky ilikua imezoeleka kuwa pombe kali kwa watu wenye umri mkubwa

Tangu kufahamika kama 'kinywaji cha watu wazima sana' sasa kimekuwa kikifanya vizuri kwenye masoko duniani.

Pombe kali chapa ya whisky inayofanya vizuri nchini Scotland.

Leo hii whisky ya Scotch ni moja ya kinywaji kinachotengezwa na kuuzwa, huku Scotland ikijipatia dola bilioni 5.7 mwaka 2018 kutokana na kusafirisha bidhaa hiyo.

Mada zinazohusiana