Tuzo za wanyama pori wenye kuchekesha kwa mwaka 2019

A lion cub goes for his dad's privates Haki miliki ya picha Sarah Skinner/Comedy Wildlife Photography Awards
Image caption Simba mdogo akijaribu kurukia sehemu za siri za baba yake

Hizi ni picha ambazo zilishinda tuzo za wanyama pori wenye vituko licha ya kuwa picha hizo kutoonekana kuwa na taswira ya kuchekesha.

Picha inayomuonyesha simba mdogo akicheza ilipigwa na Sarah Skinner huko Botswana.

Haki miliki ya picha Anthony N Petrovich/Comedy Wildlife Photo Awards
Image caption Picha hii inaonyesha samaki akiwa anakimbizwa na papa
Haki miliki ya picha Alastair Marsh/Comedy Wildlife Photography Awards
Image caption Je, kucheza huku kwa fisi kulistahili tuzo
Haki miliki ya picha Harry M. Walker/Comedy Wildlife Photography Awards
Haki miliki ya picha TilakRaJ'NagaRaJ/Comedy Wildlife Photography Award
Image caption Kiboko akimkojolea ndege
Haki miliki ya picha Vicki Jauron/Comedy Wildlife Photography Awards
Image caption Bundi akiwa anacheka
Haki miliki ya picha Thomas D Mangelsen/Comedy Wildlife Photo Awards
Image caption Sokwe mtoto akiwa amejipumzisha

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii