Miaka 37 ya mapambano dhidi ya ukimwi
Huwezi kusikiliza tena

Tumetoka wapi na tunaelekea wapi katika mapambano ya Ukimwi

Ni miaka 37,tangu Marekani walipokuja na jina la ugonjwa ambao hauna tiba mpaka sasa, Ukimwi.

Mpaka sasa watu milioni 75 wameathirika na ugonjwa huo na watu milioni 32 wamekufa.

Ingawa wagonjwa wa ugonjwa huo wanaweza kupata dawa kiurahisi na kufanya hali zao za afya kuimarika.

Mada zinazohusiana