Je, unawezaje kuzalisha upepo?
Huwezi kusikiliza tena

Mwanaume aliyekuwa na ndoto ya kuzalisha umeme kutokana na upepo kuitimiza

Henrik Stiesdal alikuwa anatamani sana kutengeneza upepo tangu ujana wake.

Na sasa amepiga hatua kubwa ya kuzalisha umeme unaotokana na upepo kupitia miundombinu ya kutengeneza upepo na nishati safi.

Mada zinazohusiana