Miereka ya asili yaibuliwa upya
Huwezi kusikiliza tena

Jinsi miereka inavyochezwa Magharibi mwa Afrika

Dambe ndio miereka ya asili inayofanyika Afrika magharibi, lakini hivi karibuni imekuwa maarufu zaidi kutokana mtandao wa Youtube.

Mchezo huo unahusisha wapiganaji ambao wanakuwa wamefunga kamba katika mikono yao huku wakijaribu kuwarushia ngumi na mateke wapinzani wao.

Video moja iliwekwa mtandaoni na kupata maelfu ya watazamaji. BBC imeenda Nigeria kuangazia mchezo huo na kuona kwanini imepata umaarufu mkubwa.

Mada zinazohusiana