Mwandishi wa habari Erick Kabendera anyimwa ruhusa ya kumzika mama yake

Mwandishi wa habari Erick Kabendera anyimwa ruhusa ya kumzika mama yake

Mahakama nchini Tanzania imedai haina mamlaka ya kutoa amri ya Kabendera kusindikizwa chini ya ulinzi kwenda kutoa heshima za mwisho kwa marehemu mama yake mzazi.