'Sisi sio wananchi, sisi ni mateka'
Huwezi kusikiliza tena

Maandamano Iran: 'Tumekuwa mateka katika nchi yetu'

Maandamano yamekuwa yakiendelea Iran baada ya mamlaka nchi hiyo kukiri kuhusika kuidukua ndege ya kimataifa ya Ukraine, siku chache baada kukataa kuhusika katika tukio hilo.

Mada zinazohusiana