Kutana na kobe mwenye watoto 800
Huwezi kusikiliza tena

Diego – Kobe aliyenusuru kizazi chake

Kobe mkubwa anayefahamika kama Diego, ameweza kunusuru kizazi chake katika kisiwa cha Galápagos.

Kobe huyo alichaguliwa kuwa sehemu ya mpango wa kupandikiza uzazi katika kisiwa cha Santa Cruz mwaka 1960. Lakini baada ya miongo kadhaa ya kazi kubwa , dume la mbegu Diego amefanikisha kuzaa watoto 800.

Ingawa sasa amepumzika kuzaa.

Mada zinazohusiana