Singer ndio mashine ya kwanza yenye kasi na bora zaidi

An advert for Singer's Patent Sewing Machine, 1899 Haki miliki ya picha Getty Images

Matangazo ya Gillette yanapinga wanaume kutumia bidhaa zenye sumu.

Matangazo hayo yametengenezwa kwa namna ambayo wanataka kuhusisha watu kujivunia bidhaa zao na kuwahamasisha kuendelea kuzitumia.

Mifano kama hiyo inafahamika kama ya ubepari kwa sababu ya uwezo wake wa kuhamasisha masuala ya kijamii , na hali iko hivyo kutokana na namna yalivyobuniwa.

Ingawa ubepari sio jambo geni ukilifikiria.

Mwaka 1850, masuala ya kijamii yalionekana kwa uhakika kuwa yalikuwa na muendelezo mkubwa.

Miaka kadhaa awali, mhamasishaji wa Marekani Elizabeth Cady Stanton alizua taharuki kwa kudai haki kwa wanawake itendeke, alitaka wanawake wapigiwe kura.

Hata watu waliokuwa wakimuunga mkongo walipata hofu pia kwa kuona kuwa alikuwa amevuka mipaka.

Haki miliki ya picha Getty Images

Huko mjini Boston, muigizaji aliyeshindwa kujaribu utumia mali zake kufanya uvumuzi.

Alipanga sehemu akitumaini kuwa ataweza kuuza mashine zake za kushonea, lakini hakuna mtu aliyetaka mashine hata moja. The device was ingenious, but nobody wanted to buy one.

Mmiliki wa duka aliangalia bidhaa nyingine ambayo pia ilikuwa haitoki dukani:Nayo ilikuwa mashine ya kushonea.

Mashine za kushonea zilikuwa hazitoki sana hakuna aliyefanikia mvumbuzi aliyefanikiwa mashine iliyopendwa kununuliwa licha ya wengi kujaribu kutengeneza aina mbalimbali za mashine kwa miongo kadhaa.

Fursa hazikuwa wazi.

Ni kweli kuwa mashine hizo hazikuwa ghali kwa wakati huo: "Tunafahamu kuwa kuna wanawake wanalipwa vibaya na wanahangaika sana na maisha kutokana na kipato wanachokipata kutokana na kazi wanayoifanya." Lakini mashine inaweza kutumia saa 14 kushona shati moja, hivyo kama mashine hizo zitaweza kuongezwa kasi basi jambo tatizo litakuwa limetatuliwa.

Ilikuwa sio mwenye duka tu ndiye alikuwa anapata wakati mgumu, lakini wanawake wengi na watoto wao waliokuwa wanatarajia kushona walikuwa wanasumbuka sana

Hali ya ugumu wa kutumia mashine hizo ilionekana kutopatiwa muhafaka, alisema Sarah Hale ambaye ni mwandishi wa vitabu, Maisha yao yalikuwa magumu, kutumia mashine hizo ilikuwa lazima upitie hekaheka nyingi kwanza.

Katika duka la Boston, mvumbuzi wa mashine hizo aliambiwa kufikiria namna nyingine ya kutengeneza mashine zake: "Unapaswa kufanya jambo ambalo linaweza kuwafanya wanawake wanyamaze."

Muigizaji yule aliweza kubadilika kuwa mvumbuzi Isaac Merritt Singer. Alikuwa mtanashati, mkarimu na anapenda kusaidia watu wengine lakini alikuwa mkali pia.

Alikuwa ana wanawake wengi , alikuwa baba wa watoto takribani 22.

Haki miliki ya picha Getty Images

Kwa miaka kadhaa aliweza kuhudumia familia tatu, na hakuna familia ambayo ilijua kuwa ana wanawake sehemu nyingine na watoto lakini wakati huohuo alikuwa ameoa mtu mwingine sehemu nyingine.

Mwanamke mmoja tu ndio aliwahi kulalamika kuwa alikuwa anampiga.

Singer alikuwa anapenda kuwawezesha wanawake na kuunga mkono haki za wanawake licha ya kwamba tabia zake zilikuwa haziendani na kile ambacho anakipigania.

"Yeye ni mwanaume aliyekuwa anaunga mkono harakati za wanawake "

Mashine za kushonea alizozitengeneza ziliweza kupewa jina lake Singer .

Aliweza kutengeneza mashine mpya ambazo ziliweza kushona shati kwa saa moja tu.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mashine ya kwanza ya Singer ilitengenezwa mwaka 1851

Ingawa ilikuwa inajumuisha uvumbuzi ambao ulikwa umeanza kutumika awali na wavumbuzi wengine ili kutengeneza nguo, lakini mashine aliyoitengeneza ilikuwa imeboreshwa zaidi kwenye upande wa sehemu ya kuwekea sindano, lock ya 'stitch'.

Wakati wa kile kilichoitwa vita ya mashine za kushone, watengenezaji mashine walikuwa wanavutiwa zaidi katika utengenezaji zaidi ya kuuza mashine hizo.

Mwishoni, mawakili walikuwa wakishirikiana nao, kutetea nani alikuwa ametengeneza mashine bora zaidi na vigezo gani vinaweza kubainisha ubora.

Kuna watengenezaji wanne ambao waliungana na kujiuliza kwa nini wasipate leseni na kufanya kazi kwa pamoja na kuwashitaki wengine?

Soko la mashine za kushonea lilikuwa , na mashine ya Singer ikaongozwa kupendwa zaidi.

Hii inaweza kuwa imewashangaza kila mtu aliyeona kiwanda cha mashine hizo kilivyokuwa inafanya kazi tofauti na wapinzani wake.

Wengine walikimbilia kudai kuwa alikuwa anatumia vifaa vilivyotengenezwa na sehemu nyingine.

Vilevile Singer ilichelewa uingia katika tasnia hii ya utengenezaji wa mashine na baadhi ya vifaa vya mashine iyo havitengenezwi na kiwanda cha Singer.

Lakini Singer na mshirika wake katika biashara, Edward Clark, walikuwa wanavuka hatua nyingine ya kibiashara.

Mashine zao za kushonea zilikuwa ghali, ilikuwa inagharimu miezi kadhaa ya kipato cha familia nyingi.

Clark ilikuja na wazo la kukodisha:Familia zilikodisha mashine kwa kiasi fulani cha fedha kwa mwezi - na malipo yao yalikuwa sawa na kununua mwisho wa siku ilikuwa sawa na kununua mpya.

Haki miliki ya picha Getty Images

Mashine hiyo imesaidia kuondoa tatizo la mashine kufanya kazi polepole kwa miaka kadhaa.

Bado soko la mashine hizo lilikuwa linakutana na changamoto ya kwa nini mtu anunue mashine ya aina hiyo kwa gharama kubwa na watu walipaswa kuelewa maboresho.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Fundi wa kushona akitumia mashine ya kushonea aina ya Singer mwaka 1907

Kadri muda unavyozidi kwenda matumizi ya mashine yanaachana na suala la jinsia na kuonekana kuwa ni mashine wanayotumia kila mtu.

Labda tumuulize mwanamke, huyu ni Sarah Hale, kutoka jarida na kitabu cha Godey ya mwaka1860: "Ushonaji wa wanawake inaonekana kuwa ajira ya kifamilia na kazi ambayo mtu anapaswa kuifurahia.

Inaendelea kupata umaarufu duniani kote.

Kwa sasa Singer bado ina thamani kubwa sana sokoni na inaendelea kuboreshwa kila kukicha.

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii