Tazama jinsi hospitali hii ilivyojengwa ndani ya siku 10 ili kuwashughulikia waathiriwa wa virusi vya Corona China
Tazama jinsi hospitali hii ilivyojengwa ndani ya siku 10 ili kuwashughulikia waathiriwa wa virusi vya Corona China
Hospitali yenye uwezo wa kupokea wagonjwa 1,000 imejengwa mjini Wuhan ili kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona.
Kwa mujibu wa mamlaka ya China, ujenzi ulianza tarehe 24 Januari na mgonjwa wa kwanza amewasili Februari 3.
Coronavirus: Jinsi wanyama wanavyohusishwa katika mlipuko wa magonjwa mapya
Mabadiliko ya tabia nchi yanabadili mfumo wa maisha ya binadamu na wanyama na kufanya magonjwa kuenea kwa kasi