Uzinduzi wa filamu ya James Bond umesongezwa hadi Novemba

Uzinduzi wa filamu ya James Bond umesongezwa hadi Novemba

Uzinduzi wa filamu mpya ya James Bond umesogezwa mbele kwa kipindi cha miezi saba huku virusi vya korona vikizidi kuenea.

Waandalizi wa filamu hiyo wanasema walikuwa wamesongeza toleo hilo la No Time To Die kutoka Aprili hadi Novemba baada yakutizama jinsi soko la sekta ya filamu linavyoathirika.