Habari za picha wiki hii 6-12 Machi 2020

Chadema politicians wave to their supporters outside a magistrate's court in Dar es Salaam, Tanzania - Tuesday 10 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jinsi viongozi wa upinzani Tanzania walivyosindikizwa jela baada ya kutoka mahakamani jijini Dar es Salaam siku ya jumanne baada ya hukumu kutaka walipe faini ya $150,000 (£119,000) kwa kosa la kuandaa mikutano ya hadhara bila kibali.
Relatives and colleagues of those who died in the Ethiopian Airlines 737 Max crash hold candles at a ceremony in southern Ethiopia - Monday Tuesday 10 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Kumbukumbu ya mwaka mmoja ya ajali ya ndege ya Ethiopia, iliyotokea muda mfupi baada ya kupaa mjini Addis Ababa.
Men cleaning graves at Palm Groove Cemetery in Monrovia, Liberia - Wednesday 11 March 2020 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Vijana wakisaficha makaburi ya wapendwa wao huko Liberia, siku ya jumatano ambayo ni siku ya kupamba.
A boy in traditional dress marching during independence celebrations in Kumasi, Ghana - Friday 6 March 2020 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Nchini Ghana , mtoto akitembea kwenye gwaride katika sikukuu ya uhuru siku ya ijumaa...
Traditional dancers in masks during independence celebrations in Kumasi, Ghana - Friday 6 March 2020 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Miaka 63 ya uhuru wa nchi za Afrika Magharibi, Ngoma za asili zilitumbuiza
A man in a facemask looking at his phone in Yaoundé, Cameroon - Friday 6 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mlipuko wa ugonjwa wa corona wafanya watu barani Afrika kuanza kuvaa 'mask. Hapo ni nje ya hospitali ya Cameroon katika mji mkuu wa l, Yaoundé - eneo ambalo raia wa Ufaransa alitibiwa -19.
A girls washing her hands at a public sink in Kigali, Rwanda - Wednesday 11 March 2020 Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Binti mdogo akinawa mikono siku ya Jumatano kabla ya kupanda katika daladala mjini Kigali, Rwanda ili kuepuka maambukizi ya corona.
A man sells hand sanitising gel to a motorist in Johannesburg, South Africa - Wednesday 11 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Corona imeibua mianya mipya ya ujasiriamali mjini Johanesburg
A woman with a tattoo saying "I celebrate myself" in Khartoum, Sudan - Sudan 8 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Sherehe ya siku ya mwanamke Sudan, mjini, Khartoum
People watching a cyclist riding through Masiphumelele near Cape Town, South Africa - Sunday 8 March 2020 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mashindano ya baiskeli mjini Cape Town... Afrika Kusini
Children throwing coloured powder on each other during the Hindu Holi festival in Durban, South Africa - Monday 9 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Sherehe za kihindi za Holi-mjini Durban, Afrika Kusini zinasohusisha kupaka rangi zikimaanisha upendo na maisha mapya....
A person with yellow powder on their face in Durban, South Africa - Monday 9 March 2020 Haki miliki ya picha AFP
Tunisian beauty queen contestant Ahlem Souidi poses on stage in Tunis, Tunisia - Tuesday 10 March 2020 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Siku ya Jumanne, mlimbwende Ahlem Souidi akiwasilisha Tunis katika mashindano ya Miss Arab World.
Construction workers stand on scaffolding in Abuja, Nigeria - Thursday 12 March 2020 Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Ujenzi wa uwanja wa ndege, Nigeria, Abuja.

Images: AFP, EPA, PA and Reuters

Mada zinazohusiana