Chronixx asema kuwa Kizazi kipya kinahitaji aina mpya ya maandamano.

Chronixx asema kuwa Kizazi kipya kinahitaji aina mpya ya maandamano.

Mwanamuziki wa Reggae Chronixx amesema ulimwengu unahitaji aina mpya ya maandamano ili kupata mabadiliko. Chronixx mwenye umri wa miaka 27 alikuwa akizungumza na Radio 1 Newsbeat kuhusu wimbo wake mpya wa 'Same Prayer' ambao amesema ni kibao cha maombi kwa kizazi kipya.