Hisia za mama aliyempoteza mume wake kwenye shambulio la Christchurch

Hisia za mama aliyempoteza mume wake kwenye shambulio la Christchurch

Mume wa Hamimah Tuyan, Zekeriya, alikuwa miongoni mwa watu 51 waliouawa katika mashambulio ya bomu yalitokea kwenye misikiti miwili huko Christchurch, Machi 2019. Alisafiri kutoka Singapore hadi New Zealand kuzungumzia kile alichopitia kama mwathirika.