Kamala Harris mkosoaji aliyempa changamoto kubwa kwa Trump

Kamala Harris mkosoaji aliyempa changamoto kubwa kwa Trump

Bi Harris mwenye umri wa miaka 55, aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais mwezi Disemba baada ya kutofanikiwa kushinda katika mchuano wa uteuzi wa kiti cha urais wa chama cha Democratic.

Akikabiliana mara kwa mara na Bwana Biden wakati wa midahalo ya chaguzi za awali , ambapo alikosoa jinsi Biden alivyosifu mahusiano ya ''kiraia'' ya kikazi aliyokuwa nayo na seneta wa zamani ambaye alipendelea ubaguzi wa rangi.

Mfahamu zaidi mwanamama huyu.