Cutoff recycle: Kampuni inayotumia mabaki ya nywele kutengeneza matofali

Cutoff recycle: Kampuni inayotumia mabaki ya nywele kutengeneza matofali

Vijana wa kitanzania David Daud na mwenzake Ojung’u Jackson wameanzisha kampuni (Cutoff recycle) ambayo inatengeneza mbolea, viwatilifu na teknolojia ya kuongeza nguvu kwenye matofali kwa kutumia mabaki ya nywele za binadamu.

David anasema kuwa nywele wanazotumia kutengeneza mbolea na bidhaa nyingine ni nywele asili za bunadamu na si nywele bandia kwasababu hazina virutubushi vyovyote vya asili.

Wakati wanaanzisha mradi huu, maeneo ambayo walikua wakikusanya nywele ikiwemo saluni walidhani kuwa wanachukua nywele hizo kwenda kuzifanyia masuala kishirikina.

Lakini mradi huu unafanyika vipi?