Wanawake 100 wa BBC 2020: Zahara atoa wito kwa wanawake kutokaa kimya na kudai kuwa kutawauwa
Wanawake 100 wa BBC 2020: Zahara atoa wito kwa wanawake kutokaa kimya na kudai kuwa kutawauwa
Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo Afrika Kusini Zahara anazungumzia unyanyasaji wa kijinsia wakati wa mlipuko wa corona nchini kwake.
Ametoa ujumbe kwa vijana kuwa "Usikae kimya , kitakuua."
Zahara yuko kwenye orodha ya wanawake 100 wa BBC mwaka huu.

BBC 100 Women 2020: Nani yuko kwenye orodha hiyo mwaka huu?
Rebeca Gyumi kutoka nchini Tanzania ni miongoni mwa wanawake 100 wa BBC ambao wanaonesha utofauti duniani.