Matokeo ya uchaguzi Uganda 2021:Bobi Wine aiomba Tume ya Uchaguzi kuheshimu sauti ya waganda

Matokeo ya uchaguzi Uganda 2021:Bobi Wine aiomba Tume ya Uchaguzi kuheshimu sauti ya waganda

Mgombea wa urais Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine ameiomba Tume ya Uchaguzi kuheshimu sauti ya watu wa Uganda.