Jinsi ugonjwa wa ngozi ulivyonitenganisha na watu wengine

Jinsi ugonjwa wa ngozi ulivyonitenganisha na watu wengine

Bi. Queen Ereba kutoka Nigeria anasema ugonjwa wa ngozi ulimlazimisha kujitenga na watu na hata kuacha shule.

Vilevile alipata shida ya afya ya akili lakini sasa ameandika kitabu kuhusu kile alichokipitia akiwa na matumaini kuwa kitawasaidia kukabiliana na changamoto wanazopitia katika maisha.