'Niliacha shule ili nitilie mkazo katika utayarishaji wa muziki’

'Niliacha shule ili nitilie mkazo katika utayarishaji wa muziki’

Manalla Yusuph ama maarufu Axl beats ni mtayarishaji(Producer) wa muziki raia wa uingereza mwenye asili ya Tanzania, Baba yake na mama yake wote ni raia wa Tanzania.

Katika umri wake mdogo tayari ametayarisha muziki kwa ajili ya wasanii wakubwa wa Marekani na Uingereza kama Drake, Travis Scott na 21 Savage.

Lakini ilikuwaje akaingia kwenye kazi hii?