Bioethanol:Mafuta yatokanayo kwa mimea yanayoweza kuzuia athari za tabia nchi

Bioethanol:Mafuta yatokanayo kwa mimea yanayoweza kuzuia athari za tabia nchi

Vituo vya ‘Koko’ hutoa mafuta yaliyotengenezwa kutoka kwa mimea ambayo yanaweza kutumika katika jiko la kupikia na kuwapa Wakenya njia mbadala safi ya isiokuwa na athari za uharibifu kutoka kwa kuni au mkaa.

Mafuta haya yamewapa wengi afueni kwani kando na kuzuia uharibifu wa mazingira ,matumizi yake yanayawaepusha na madhara ya kiafya .