Ugonjwa wa Busha: Je ni kweli 'dafu' linaweza kusababisha maradhi haya?

Ugonjwa wa Busha: Je ni kweli 'dafu' linaweza kusababisha maradhi haya?

"Madafu yanaleta ugonjwa wa Busha” pengine maneno haya si Mageni kwako.

La hasha maneno haya hayana ukweli wowote

Na kwa mujibu wa wataalamu wa afya

ni kuwa madafu yana virutubisho vingi na wakati mwingine hutumika kama tiba mbadala.

Katika makala ya chakula wiki hii, mwandishi wa BBC Frank Mavura ameandaa taarifa ifuatayo.