Jukwaa la maonesho ya ubunifu wa watoto Tanzania

Jukwaa la maonesho ya ubunifu wa watoto Tanzania

Kumekuwa na changamoto ya majukwaa ya watoto kuonesha vipaji vyao.

Lakini pia wabunifu kuonesha bidhaa za Watoto kama vile nguo na viatu, mitindo ya nywele na vitu vinavyohusiana na Watoto.

Kulingana na changamoto hii mbunifu Khadija Mwanamboka akaona ni vyema aanzishe tamasha mahsusi kwa watoto kuonesha vipaji mbalimbali katika tasnia ya mitindo nchini Tanzania.

Mwandishi wa BBC Frank Mavura ametuandalia Habari hii