Maharage ya Jesca: Hurudisha maelewano katika ndoa kwa kuongeza nguvu za kiume-Mtafiti

Maharage ya Jesca: Hurudisha maelewano katika ndoa kwa kuongeza nguvu za kiume-Mtafiti

Kwa muda mrefu sasa wanawake na wanaume wamekuwa wakilalamikia suala la ukosefu wa nguvu za kiume kitu ambacho kimefanya watafiti kutoka Tari Seriani Arusha kuja na wazo la kuyaongezea maharage viini lishe vinavyoweza kurudisha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume!

Je ungependa kufahamu Maharage haya yanafanyaje kazi na upatikanaji wake!?

Mwandishi wa BBC Lulu Sanga ametembelea kituo hicho cha utafiti jijini Arusha na kutuandalia taarifa hii.

Picha na Frank Mavura