Kwa nini NASA inatafuta viumbe wa ajabu angani?

Maelezo ya video,

Siku ya UFO Duniani: Kwa nini NASA inatafuta viumbe wa ajabu angani?

Maelfu ya viumbe vyaajabu vimeripotiwa kama UFOs (au UAPs kama zinavyoitwa sasa) na watu kote dunia lakini kwa miongo kadhaa wanasayansi wamepuuza na kuchukulia kama hadithi za uwongo. Sasa, Nasa inaunda timu maalum ya wanasayansi kuchunguza baadhi ya matukio haya ya ajabu kwa matumaini ya kupata majibu.