Mwanamfalme wa Malaysia ajiuzulu na kumuoa  mpenzi wake kisiri
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamfalme wa Malaysia ajiuzulu na kumuoa mpenzi wake kisiri

Mwanamfalme wa Malaysia amejiuzulu ingawa ikulu haijasema sababu rasmi za yeye kujiuzulu, inakisiwa kuwa ni kwa sababu amemuoa kisiri mchumba wake kutoka Urusi.

Je, unaweza kuwacha cheo chako cha juu kwa sababu ya mapenzi?

Tueleze kwenye Facebook, BBCSwahili.

Mada zinazohusiana