Je, wanawake wenye umri zaidi ya miaka 50 huweza kuolewa?
Huwezi kusikiliza tena

Je, wanawake wenye umri zaidi ya miaka 50 huweza kuolewa?

Muandishi wa vitabu wa Ufaransa Yann Moix amekashifiwa mitandaoni kwa kusema kwamba hawezi kumpenda mwanamke mwenye umri wa miaka 50 au zaidi licha ya kwamba yeye mwenye ana miaka 50. Moix amesema huwaona wanawake katika umri huo kuwa wazee sana.

Je, wakubaliana na matamshi ya mwanamume huyo?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana