Jinsi alivyonusurika kunyongwa mara kadhaa

Jinsi alivyonusurika kunyongwa mara kadhaa

Raia wa Malawi,Byson Kaula alikuwa karibu anyongwe mara tatu lakini kwa sababu moja au nyengine hilo halikutokea. Kaula amekariri kutokua na hatia na baada ya karibu na robo karne jela akaachiwa huru.

Je, unadhani adhabu ya kifo inapaswa kufutiliwa mbali?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com