Kardinali George Pell ahukumiwa kwa unyanyasaji wa kingono

Kardinali George Pell ahukumiwa kwa unyanyasaji wa kingono

Kardinali wa Australia, George Pell, amehukumiwa kwa kuwanyanyasa kingono watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 13 katika Kanisa katoliki la Melbourne mwaka 1996.

Je, kwa maoni yako Kardinali huyo anastahili adhabu gani?