Tahadhari yatolewa kuhusu bangi iliyopakwa kinyesi

Tahadhari yatolewa kuhusu bangi iliyopakwa kinyesi

Watafiti nchini Uhispania waonya kwamba bangi inayouzwa mitaani nchini humo inaweza kuambukiza mtu magonjwa kwa sababu wakati mwengine walanguzi huichanganya na kinyesi ili isigunduliwe na maafisa wa salama - Je ni sheria gani inayoweza kuchukuliwa kwa watu hawa: