Sheeran ampiku Adele kwa utajiri
Huwezi kusikiliza tena

Sheeran ampiku Adele kwa utajiri wa pauni milioni 160

Mwanamuziki Ed Sheeran ameongeza maradufu utajiri wake na kumzidi Adele kwa thamani ya pauni milioni 160. Kulingana na Orodha ya Sunday Times Rich Times. Miongoni mwa vibao moto moto vya Sheeran ni pamoja na Shape of You.

Mada zinazohusiana