David Beckham apigwa marufuku ya kuendesha gari
Huwezi kusikiliza tena

David Beckham apigwa marufuku ya kuendesha gari kwa miezi sita

Nahodha wa zamani wa England David Beckham, amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi sita baada ya kupatikana akitumia simu wakati akiendesha gari lake.

Mada zinazohusiana