Furaha kubwa: ameokota jiwe la dhahabu kwa kutumia 'smaku'
Huwezi kusikiliza tena

Australia afurahia kuokota jiwe la dhahabu kibahati!

Mwanmme mmoja kutoka Australia, amepata kilo 1.4 ya dhahabu katika maeneo ya migodi ya dhahabu huko Magharibi mwa Australia akitumia 'smaku' kifaa cha kutambua na kunasa chuma. Dhahabu hiyo inakisiwa kuwa na thamani ya dola elfu 69. Je, utafanyaje ukipata bahati ya hazina kama hiyo? Tueleze kwenye ukurasa wa facebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana