Kifaa cha kudhibiti sigara za kielectroniki
Huwezi kusikiliza tena

Tecknolojia mpya kuzindiliwa kuwadhibiti wavutaji sigara za kielectroniki

Kesi imeanza kusikizwa ya iwapo sigara za kielectroniki maarufu kama e-cigarete zinaweza kuunganishwa na simu aina ya android ili ziweze kudhibiti kiwango cha moshi kutoka kwa sigara hizo. Pia inasemekana uzinduzi huo utamfanya anayevuta sigara kupata moshi huo peke yake.

Mada zinazohusiana